Wednesday, February 3, 2010

utajiri wa karibu unaweza kupitia kwenye mtama


Maadalizi ya kawaida; mama ameandaa mandazi ya mtama,keki za mtama pilau ya mtama tambi za mtama kama tunavyoona .yaani mtama ukiujulia unaweza kuwa mjasiriamali uliyekamilika . basi tushawishike tulima mtama


Mtama ukiandaliwa vizuri huweza kutoa mazo mengi tofauti na ugali uji kama wengi tulivyokuwa tumezoea pichani ni mama akiaanda mtama kwa ajilia ya kazi nyingine


No comments:

Post a Comment