
Chakula sio lazima kitokane na mchele mahindi au ndizi lakini mtama nao ni chakula kizuri na chenye nguvu

Tulime mtama ili kuepukana na njaa za mara kwa mara hasa atika kipindi hiki cha mtikisiko wa uchumi

MZEE MWINJI ANAPOKEA CHANGAMOTO ZINAZOIKUMBA ZAO LA EMBE

MZEE MWINYI,(wa kwanza kusoto)WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MH. STIPHIN WASIRA(wapili toka kulia) NA NAIBU KATIBU WA WIZARA YA KILIMO MAMA KADUMA (wa kwanza kulia) WAKIJISEVIA MAEMBE
No comments:
Post a Comment