Wednesday, February 24, 2010

majambazi wanapokuamulia


Dawa ya ujambazi ni Polisi Jamii
yamekuwa yakitokea majanga makubwa ya ujambazi na kuwafanya watu kuathirika kwa kiasi kikubwa
kamwe hatuwezi kusaha yaliotokea kule katika kisiwa cha ukerewe na yale yaliotokea kule musoma

kupambana na majambazi ni kazi ya kila mtanzania

mimi nanaamini kuwa tatizo la ujambazi linaweza kumalizwa na polisi jamii
hii ni kutokana na ukweli kwamba majambazi wapo ndani ya jamiii husika
kama polisi jamiii wakiwezeshwa vizuri hili litawezekana

No comments:

Post a Comment