Thursday, February 4, 2010

Maisha ni popote


ujasiriamali ni popote. kibanda cha mama ntilie ambacho kimemfanya anasomesha watoto na huduma nyingine


shule ni kokote . vijana wa chuo cha waislamu morogoro (MUM)wakifanya mjadala mkali kuhusu masomo
Bwanashamba akitoa maelezo kuhusu Magonjwa yanayoshambulia migomba pamoja na ndizi huko Bukoba



JINSI WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA ILIVYOJIPANGA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA CHAKULA NCHINI( MBELE NI WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA)



HII INAONESHA KUWA KILIMO KIMEKUWA NI CHAWAZEE
vijana tunatakiwa kurudi kijijini ili kujiajiri katika kilimo ili tuweze kutumia furusa zilizopo. kwa sasa kila kijiji kimetengewa milioni 35 za DADPS ili kuanzisha miradi yeyote kilimo kikiwepo
vijana tuzichangamkie hizo ili kilimo kiweze kuwa endelevu



No comments:

Post a Comment