
MTAALAMU WA KUDHIBITI MAGONJWA NA WADUDU WA HARIBIFU WA EMBE BWANA MWANIKO WA WIZARA YA KILIMO
EMBE LILILOSHAMBULIWA NA MDUDU HATARI WA EMBE AJULIKANAE KAMA INZI WA EMBE

WADUDU AINA YA MAJIGU WA KUDHIBITI INZI WA MAEMBE WAKIWA KWENYE KONTENA

BWANA MWANIKO BAADA YA KUSHUKA KWENYE GARI LAKE AKIWA AMEBEBA AINA YA MAJIGU KUWAPELEKEA WAKULIMA WA EMBE WILAYANI BAGAMOYO
No comments:
Post a Comment