KIPINDI CHETU TUKIWA TUNALEA
MUADISHI WA DAILY NEWS BW.ABDULIWAKILI SAIBOKO KWA MADAHA KABISA AKIENDA KUTUNIKIWA SHAHADA YA KWANZA YA MASS COMMUNICATION KATIKA CHUO CHA WAISLAM MOROGORO

AFISA HABARI WA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA BW. ISSA SABUNI AKIWA AMESHIKILIA VIKOMBE VYA USHINDI ULIOPATIKA KATIKA MICHEZO YA SHIMIWI MJINI MOROGORO PEMBENI NI MSAIDIZI WA MKURUGEZI WA RASILIMALI WATU
BASHIRI SALUM JUMA KWA MWENDO WA AINA YAKE WAKATI AKIELEKEA KUTUNIKIWA SHADA YA KWANZA YA MAWASILIANO YA JAMIIYA (mass communication) KUTOKA KATIKA CHUO CHA WAISLAM MOROGORO
No comments:
Post a Comment