Maendeleo hayawezi kuwepo kama watu hawana tabia ya kujitegemea kuanzia kwenye serikali mpaka nganzi ya chini ya familia na baadaye mtu mmoja mmoja
Kama huna uwezo wa kujitegemea basi huna uwezo wa kuendelea na kama huna uwezo wa kuendelea basi maisha yako ni lazima yawe magumu leo mpaka kesho.
Kama nchi itategemea misaada kutoka nje ni lazima ukubaliane na mashariti ya kwao na lazima wakupe cha ziada
Hiyvo serikali ikitegemea serika athari yake ni kubwa kutokana na kuwa atakupa mashariti magumu au mda mwingine anakupa kwa kuwa kuna anachokitaka kwako
Utamaduni huuu kwa Tanzania umejengeka sana mtu hafanyi kitu anategemea kupata kitu
Sasa imefikia hata wakulima wengi wanapunguza kasi kwani wanafikiri kilimo kwanza ni mradi ambao hugawa pesa kwa wakulima
Kilimo kwanza ni sera na wala sio mradi hivyo haigawi hela inatoa msukumo kila mtu asaidie kwa namna flani katika kukiinua kilimo
Jamani tusitegemee msaada hakuna msaada tufaje kazi
Monday, February 8, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment