Ushawahi kujiuliza kuwa kwa nini kinyonga anabadilisha rangi?
Na ushawahi kujiuliza kuwa ni wakati gani kinyonga anabadilisha rangi?
Pia ushawahi kuuliza kuwa kwa nini hata kama mti nimrefu kiasi gani lazima matawi yarudi chini?
sasa ukweli ni huu
Kinyonga huwa anabadilisha rangi pale anapowaona maadui zake
lakini pia hubadili rangi wakiti anapokuwa anataka chakula kilichopo ndani ya maadui zake
hii inaonyesha uwezo wake na mbinu ili kujiwezesha kuishi
hata mti huchukua tahadhari kwa kuelewa kuwa ni lazima utarudi chini kwa kuyataguliza matawi chini
JE SISI TUNAJIHAMI VIPI KATIKA KUPAMBANA NA VIKWANZO?
Wednesday, February 10, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment