
kule handeni inasemekana wanafunzi wanajishughulisha na ulevi pamoja na uzinzi ndio chanzo cha kushindwa masomo kwa kiasi kikubwa
wila ya handeni katika shule ya Misima wanafunzi 20 wamekutwa na mimba na wangine huoneka na wakivuta bangi wakati wa masomo
mda mwingine shule kutofaulisha sio swala la walimu wabovu bali ni wanafunzi wenyewe
pia wazazi nao ni tatizo kwani wanaiona mienedno ya watoto wao kila siku lakini hawatoi ushirikiano wa moja kwa moja na walimu husika
No comments:
Post a Comment