Wednesday, February 3, 2010

ELIMIKA


KAZI YA MTU MOJA YENYE MAFANIKIO KWA WATU ZAIDI YA MILIONI MIA MOJA. WAPIGA PICHA WA VITUO MBALIMBALI WAKIPIGA PICHA KATIKA MOJA YA MATUKIO YA KUIELIMISHA JAMII


MAZINGIRA NAYO NI MUHIMU.
HAO NI WAFANYAKAZI WA WIZARA YA KILIMO WAKIFANYA USAFI WA MAZINGIRA YANAYOWAZUNGUKA


MAHOJIANO MUDA MWINGINE HUWA YANA VITISHO




KATIKA HARAKATI ZA KILIMO KWANZA RAISI WA ZANZIBA ABEDI AMANI KARUME NA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. KIKWETE WAKIANGALIA WATAFITI WA MUHOGO KUTOKA KIBAHA



TANZANIA NI NZURI
MIKOA MBALIMBALI INAYOLIMA MAZAO TOFAUTI , SASA IJIPANGE KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA CHAKULA NA MAJANGA KAMA MAFURIKO

No comments:

Post a Comment