ATHARI ZA TABIA NCHI INAATHIRI VITU VINGI SANA. UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI CHANZO CHA MATATIZO MIMI NA WEWE NI WAHUSIKA HIVYO TAFAKARI HALAFU CHUKUA HATUA
SAS TUFUGE KISASA ILI TUBORESHE MAISHA
MIFUGO KIDOGO LAKINI MAZIWA KIBAO
WANAWAKE WAPO KATIKA KILA KONA
KWELI MCHANGO WA WANAWAKE KATIKA DUNIA NI MKUBWA
KILIMO KWANZA KIMEANZA NA WANAWAKE
HII NI MBINU MPYA YA KUMWAGILIA MAJI KWENYE MTI PASIPOTUMIKA MAJI MENGI GARAMA YAKO NI KOPO LA MAJI KWA MUDA WA SIKU TATU
KILIMO UKIKIJULIA HAKIKUPI PRESHA
BASHIRI SALUM MDA MWINGINE BWANA!
No comments:
Post a Comment