
hapa ni raha mwanzo mwisho

hili ni kweli chukua hatua

anatunga sheria

vijana wa moshi mkoani kilimanjaro wakiotesha miche ya kahawa katika mchakato mzima wa kilimo kwanza

bado haya ni mapinduzi ya kilimo
muhogo usipo ula kama kitafunwa basi uataula kama chipsi , lakini pia unaweza kuula kwenye keki au maandazi tambi na ugali lakini mbali ya yote unaweza kuula ukiwa mbichi
No comments:
Post a Comment