hapa sio shamaba darasa bali usambazaji wa elimu kutoka mtalaamu wa mofugo
Wednesday, March 10, 2010
WA MIFUGO
ndizi sio za wachaga tu!
Monday, March 8, 2010
KUNA UTAMADUNI WA MTANZANIA ?
jana katika tasisis ya SOMA ilioko wilaya ya kinondoni katika maeneo ya moroco walikuwa na mjadala unaohusu utamaduni wa mtanzania ,kwa maana kuwa Tanaznia ina utamaduni au haina!
wengine wamesema kuwa hatutumii lugha yetu ya kiswahili katika mikutano mikubwa hasa viongozi wa siasa na baadhi wa viongozi wa dini
wengine wakasema kuwa Tanzania hakuna utamaduni wa kweli kutokana na ule wa ukarimu uliokuwepo umekuwa wa kinafiki
baadhi ya watu wengine wakasema kuwa Tanzania ina utamaduni wake
na wakatoa pointi zao za kuimarisha hoja zao kama ifuatavyo
Tanzania inatumia lugha ya Kiswahili ambayo ndio inayowaunganisha watanzania wote nchini hivyo mtu yeyote akisikia ukiongelea kiswahili anakutambua kuwa wewe ni mtanzania
wengine wakasema hata kuwepo kwa ukarimu kwa watanzania nimoja ya utamaduni wao na walitoa hoja zao wakilinganisha na nchi kama Kenya na Uganda ambapo neneo NAOMBA haliwezi kutumika kama unatoa pesa lakini kwa Tanzania hata kama
wakati unatoa pesa ,neno hili hutumika
Mimi kama mimi naona kuwa jamii yeyote lazima iwe na namna ya maisha ambayo huwa inabadilika kutokana na muda na mahali
tukisema kuwa Tanzania hamna utamaduni tunamaanisha kuwa Tanzania hamna namna watu wanavyoishi kitu amba sio kweli
Na namna ya maisha inahusisha vitu mbalimbali kama lugha vyakula kutembea kuimba kucheza kuvaa na vinginevyo . je Tanzania mambo haya haya yapo?
utamaduni wa mtanazania upo na kiswahili ni sehemu moja tu ya utamaduni wa mtanznia
baadhi ya watu walisema
Tanzania hamna utamaduni kwa sababu hakuna vazi la kitaifa kama wenzetu wa NIGERIAwengine wamesema kuwa hatutumii lugha yetu ya kiswahili katika mikutano mikubwa hasa viongozi wa siasa na baadhi wa viongozi wa dini
wengine wakasema kuwa Tanzania hakuna utamaduni wa kweli kutokana na ule wa ukarimu uliokuwepo umekuwa wa kinafiki
baadhi ya watu wengine wakasema kuwa Tanzania ina utamaduni wake
na wakatoa pointi zao za kuimarisha hoja zao kama ifuatavyo
Tanzania inatumia lugha ya Kiswahili ambayo ndio inayowaunganisha watanzania wote nchini hivyo mtu yeyote akisikia ukiongelea kiswahili anakutambua kuwa wewe ni mtanzania
wengine wakasema hata kuwepo kwa ukarimu kwa watanzania nimoja ya utamaduni wao na walitoa hoja zao wakilinganisha na nchi kama Kenya na Uganda ambapo neneo NAOMBA haliwezi kutumika kama unatoa pesa lakini kwa Tanzania hata kama
wakati unatoa pesa ,neno hili hutumika
Mimi kama mimi naona kuwa jamii yeyote lazima iwe na namna ya maisha ambayo huwa inabadilika kutokana na muda na mahali
tukisema kuwa Tanzania hamna utamaduni tunamaanisha kuwa Tanzania hamna namna watu wanavyoishi kitu amba sio kweli
Na namna ya maisha inahusisha vitu mbalimbali kama lugha vyakula kutembea kuimba kucheza kuvaa na vinginevyo . je Tanzania mambo haya haya yapo?
utamaduni wa mtanazania upo na kiswahili ni sehemu moja tu ya utamaduni wa mtanznia
Tuesday, March 2, 2010
mtaalam mambo ya uhariri wa vipindi vya television
Sunday, February 28, 2010
Thursday, February 25, 2010
Bangi chanzo cha kufeli kwa wanafunzi Tanzania

kule handeni inasemekana wanafunzi wanajishughulisha na ulevi pamoja na uzinzi ndio chanzo cha kushindwa masomo kwa kiasi kikubwa
wila ya handeni katika shule ya Misima wanafunzi 20 wamekutwa na mimba na wangine huoneka na wakivuta bangi wakati wa masomo
mda mwingine shule kutofaulisha sio swala la walimu wabovu bali ni wanafunzi wenyewe
pia wazazi nao ni tatizo kwani wanaiona mienedno ya watoto wao kila siku lakini hawatoi ushirikiano wa moja kwa moja na walimu husika
Wednesday, February 24, 2010
kibega
athari ya maandamano
mvua zimeleta matunda moshi
majambazi wanapokuamulia

Dawa ya ujambazi ni Polisi Jamii
yamekuwa yakitokea majanga makubwa ya ujambazi na kuwafanya watu kuathirika kwa kiasi kikubwa
kamwe hatuwezi kusaha yaliotokea kule katika kisiwa cha ukerewe na yale yaliotokea kule musoma
kupambana na majambazi ni kazi ya kila mtanzania
mimi nanaamini kuwa tatizo la ujambazi linaweza kumalizwa na polisi jamii
hii ni kutokana na ukweli kwamba majambazi wapo ndani ya jamiii husika
kama polisi jamiii wakiwezeshwa vizuri hili litawezekana
Barabara ya mandelea ni tatizo
Katika uzalishaji na kukuza uchumi ni muhimu kuzingatia muda
Hii inatokana nakuwa bila muda hakuna uzalishaji
Uzalishaji usiojali muda hauna faida wala hautakuwa endelevu, ni lazima kuangalia miundombinu hasa ya barabara
Nalisema hili kwa kuwa ni muda mrefu hapa DSM kumekuwa na miundombinu mibovu kiasi ya kwamba wazalishaji kukaa bararani zaidi ya masaa mawili kutokana na foleni
Mfano barabara ya Mandela ambayo ina zaidi ya miaka miwili sasa tangia ianze kutengenezwa, imekuwa kero kwa kusababisha foleni kwa muda wa miaka miwili sasa
Barabara mategenezo hayaishi na hayana mpangilio matengenezoyasiokuwa na mpangilio … hii inatia huruma japo wakati mwingine inatia hasira
Barabara hii huwezi kujua kuwa wakandarasi walianzia wapi kutengeneza na wataishia wapi kwa kuwa kila siku wanatengeza kipande na kabala hakijaisha wanahamia kungine
Hii inasababisha foleni kubwa ,watu wanachelewa makazini wafanyabiashara wa dadalala ndio kabisa hasara mafuta huishia njini
Hivi serikali wao wapiti njia hii ya Mandela wakaona ?
Sasa kama mfanyakazi anatakiwa kufika kazini saa 1:30 lakin kutokana na foleni akafika saa 3:00 hapo kutakuwa na uzalishaji gani wenye tija ?
Wahusika wa barabara hii mnaombwa kuangalia swala hili.

Wednesday, February 10, 2010
USHAWAHI KUFIKIRI HIVI
Ushawahi kujiuliza kuwa kwa nini kinyonga anabadilisha rangi?
Na ushawahi kujiuliza kuwa ni wakati gani kinyonga anabadilisha rangi?
Pia ushawahi kuuliza kuwa kwa nini hata kama mti nimrefu kiasi gani lazima matawi yarudi chini?
sasa ukweli ni huu
Kinyonga huwa anabadilisha rangi pale anapowaona maadui zake
lakini pia hubadili rangi wakiti anapokuwa anataka chakula kilichopo ndani ya maadui zake
hii inaonyesha uwezo wake na mbinu ili kujiwezesha kuishi
hata mti huchukua tahadhari kwa kuelewa kuwa ni lazima utarudi chini kwa kuyataguliza matawi chini
JE SISI TUNAJIHAMI VIPI KATIKA KUPAMBANA NA VIKWANZO?

Monday, February 8, 2010
utaalamu wa kuunganisha vikonyo vy michungwa

hapa ni raha mwanzo mwisho
hili ni kweli chukua hatua
uhuru wa habari
Huwa watu wanasema kuwa Uhuru wa vyombo vya Habari ni chimbuko la Demokrasia
Kwa maana kuwa bila uhuru wa kujieleza haitawezekana kuibulia na kufahamu yale mazuri na mabaya (ufisadi) yanayofanywa na viongozi wetu ,
Hayo yanaweza kufanyika tu kama mtu atapata uhuru wa kuongea ambayo ndio Demokrasia
Demokrasia na ufisidi ni sawa na maji na moto ambavyo ki msingi kamwe havikai sehemu moja
Pia ufisadi na uhuru wa habari ni sawa na mwanamke na mwanaume ambao huwa hawafanani japo mmoja anaweza kumuendeleza mwingine
Fisadi huogopa vyombo vya habari kama ukoma kwa maana huweza kumjenga au kumbomoa japo kama waandishi wakiyumba kidogo huweza kulelewa na mafisadi
Katika mazingira ya hivi karibuni jinsi vyombo vya habari vilivyochangia katika vita dhidi ya mafisadi
Swala hili lilileta hofu kwa wale waliokuwa wanafikiri kuwa mafisadi wa kesho au wa leo lakini hawajakomaa
Hii isije kujenga tabaka kati ya wanahabari naumoja wa wanaofikiri kuwa ni mafisadi na kuleta mitikisiko na kutika nguzo hii ya nne ya serikali yaani HABARI

pembejeo huleta mageuzi
TUACHE KUWA TEGEMEZI
Maendeleo hayawezi kuwepo kama watu hawana tabia ya kujitegemea kuanzia kwenye serikali mpaka nganzi ya chini ya familia na baadaye mtu mmoja mmoja
Kama huna uwezo wa kujitegemea basi huna uwezo wa kuendelea na kama huna uwezo wa kuendelea basi maisha yako ni lazima yawe magumu leo mpaka kesho.
Kama nchi itategemea misaada kutoka nje ni lazima ukubaliane na mashariti ya kwao na lazima wakupe cha ziada
Hiyvo serikali ikitegemea serika athari yake ni kubwa kutokana na kuwa atakupa mashariti magumu au mda mwingine anakupa kwa kuwa kuna anachokitaka kwako
Utamaduni huuu kwa Tanzania umejengeka sana mtu hafanyi kitu anategemea kupata kitu
Sasa imefikia hata wakulima wengi wanapunguza kasi kwani wanafikiri kilimo kwanza ni mradi ambao hugawa pesa kwa wakulima
Kilimo kwanza ni sera na wala sio mradi hivyo haigawi hela inatoa msukumo kila mtu asaidie kwa namna flani katika kukiinua kilimo
Jamani tusitegemee msaada hakuna msaada tufaje kazi

Thursday, February 4, 2010
UFUGAJI WA KITAALAM
mifugo ni mali hasa miugo ile ya kisasa ,ng'ombe mmoja wa aina hii anaweza anaweza kuwa na faida mara mbili au tatu ukilinganisha na ngombe wetu wa kienyeji tunaofuga.
Fuga kitaalamu na wala sio kufuga ki uzoefu

wataalamu watanesco wakionyesha vimbwanga vyao katika siku ya wafanyakazi

Moja ya shule mahiri sana ya magereza morogoro wakatia wamaafali ya form four
SHULE HII INAFANYA VIZURI SANA KITAALUMA

VIJANA WA ARUSHA NA RAHA ZAO BAADA MIHANGAIKO MINGI YA KAZI
Subscribe to:
Posts (Atom)