Wednesday, March 10, 2010


hapa sio shamaba darasa bali usambazaji wa elimu kutoka mtalaamu wa mofugo

WA MIFUGO


mtaalamu wa mifugo kutoka chuo cha mifugo mpwapwa (kulia) juma marisa akibadlishana mawazo na Ombeni sawaya moja wa AREWING

afisa mifugo kutoka liti morogoro akipumzika baada ya kiza nzito ya mifugo

watoto nao wanatafari zao

ndizi sio za wachaga tu!


moja ya familia inapokutana basi maandalizi yake huwa kama hivi
na hapa ni moja ya maeneo kule tabata segera maarufu kama kwa mfuga punda

Monday, March 8, 2010

KUNA UTAMADUNI WA MTANZANIA ?

jana katika tasisis ya SOMA ilioko wilaya ya kinondoni katika maeneo ya moroco walikuwa na mjadala unaohusu utamaduni wa mtanzania ,kwa maana kuwa Tanaznia ina utamaduni au haina!

baadhi ya watu walisema
Tanzania hamna utamaduni kwa sababu hakuna vazi la kitaifa kama wenzetu wa NIGERIA
wengine wamesema kuwa hatutumii lugha yetu ya kiswahili katika mikutano mikubwa hasa viongozi wa siasa na baadhi wa viongozi wa dini
wengine wakasema kuwa Tanzania hakuna utamaduni wa kweli kutokana na ule wa ukarimu uliokuwepo umekuwa wa kinafiki

baadhi ya watu wengine wakasema kuwa Tanzania ina utamaduni wake
na wakatoa pointi zao za kuimarisha hoja zao kama ifuatavyo

Tanzania inatumia lugha ya Kiswahili ambayo ndio inayowaunganisha watanzania wote nchini hivyo mtu yeyote akisikia ukiongelea kiswahili anakutambua kuwa wewe ni mtanzania

wengine wakasema hata kuwepo kwa ukarimu kwa watanzania nimoja ya utamaduni wao na walitoa hoja zao wakilinganisha na nchi kama Kenya na Uganda ambapo neneo NAOMBA haliwezi kutumika kama unatoa pesa lakini kwa Tanzania hata kama
wakati unatoa pesa ,neno hili hutumika

Mimi kama mimi naona kuwa jamii yeyote lazima iwe na namna ya maisha ambayo huwa inabadilika kutokana na muda na mahali

tukisema kuwa Tanzania hamna utamaduni tunamaanisha kuwa Tanzania hamna namna watu wanavyoishi kitu amba sio kweli

Na namna ya maisha inahusisha vitu mbalimbali kama lugha vyakula kutembea kuimba kucheza kuvaa na vinginevyo . je Tanzania mambo haya haya yapo?

utamaduni wa mtanazania upo na kiswahili ni sehemu moja tu ya utamaduni wa mtanznia

Tuesday, March 2, 2010

mtaalam mambo ya uhariri wa vipindi vya television


bwana Rainadi Kayombo akiwa swaz land


Kayombo akipokea zawadi ya laptop katika moja ya chuo huko swazland




hapa anapokea cheti katika chuo hicho

kahawa moshi


moshi utajiri nje nje kupitia kahawa